Wednesday, October 27, 2010

ONE8 video ..Ali kiba kwenye location.

Ally Kiba na wasanii wenzake wakiwa kwenye location wakifanya video hiyo.
ali kiba sasa kweli yupo next level .
Mungu amsaidie afike mbali ila asisahau alipotoka.

No comments:

Post a Comment